4 washikiliwa na Polisi Dodoma kwa fujo za kisiasa
Polisi Mkoa wa Dodoma Inawashikilia watu wanne na inaendelea kuwatafuta wengine kutokana na tuhuma za kujeruhi, kuharibu mali na Kufanya fujo kwenye msafara wa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM Anthony Mavunde.

