Simba yaanza kwa ushindi ligi kuu Kikosi cha Simba kilichoshuka dimbani leo kukabiliana na African Sports Pazia la Ligi kuu Tanzania Bara limefunguliwa leo huku ikishudia timu saba zikishuka dimbani na vipigo vikitawala katika baadhi ya viwanja. Read more about Simba yaanza kwa ushindi ligi kuu