Maandalizi uchaguzi mkuu mbioni kukamilika-Kailima
kurugenzi Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhan.
Tume ya taifa ya uchaguzi imesema maandalizi ya uchaguzi yamekamilika kwa zaidi ya asilimia 50 baada ya kupokea sh bilioni 72 za ufanikishaji wa zoezi hilo kwa kusambaza vifaa vya uchaguzi mikaoni.