Mabeste ajipanga wa wiki ijayo
Rapa Mabeste anayejipanga kwa ujio wa kazi kubwa wiki ijayo, baada ya ushiriki wake katika filamu kubwa ya Wake Up, ameeleza kuwa kwa upande wake fani hiyo ni kitu ambacho amekifanya kutoa sapoti tu akiwa bado hajajikita sana katika fani hiyo.

