Ney ataka siasa zisiwagawe wasanii

Mkali wa michano Ney wa Mitego

Mkali wa michano Ney wa Mitego amewasisitiza wasanii wa tasnia mbalimbali za burudani nchini kutowekeana chuki au kuweka kipaumbele sana katika pesa wakati huu wa kampeni mbalimbali za wagombea wa vyama vya siasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS