Wanne wafa katika ajali ya basi Tanga
Watu wanne wamefariki dunia wakiwemo watatu wa familia moja na wengine 35 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha Manga kilichopo wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga.

