Wakulima walazimika kuuza mazao bei chee kujitibu
Wakulima wengi nchini wanalazimika kuuza mazao yao kwa bei chini pale wanapougua ili kupata fedha za matibabu na hivyo kuendelea kuwa na hali duni ya maisha, changamoto ambayo inaweza kuondolewa kwa kuhamasisha wakulima kujiunga na mfuko wa taifa.
