Viasharia vya chuki vinajitokeza Tanzania: Ndahiro
Mwanaharakati wa kupinga ubaguzi toka Rwanda Tom Ndahiro amesema kuwa ubaguzi, chuki na maandishi yaliyosababisha wanyarwanda kuingia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Rwanda sasa yanaandikwa hapa nchini.

