Sekta ya elimu iboreshwe - Wadau Wadau wa elimu wameitaka serikali ijayo kuboresha sekta ya elimu hususan kuweka mitaala na miundo mbinu thabiti, ili iweze kuwa na tija na kutoa fursa za kujitegemea kwa vijana wengi wanapohitimu masomo yao. Read more about Sekta ya elimu iboreshwe - Wadau