2Face Idibia kidogo apoteze maisha

Msanii nguli toka Nigeria 2Face Idibia amefunguka kuhusu historia ya maisha yake na kusema kuwa almanusura apoteze maisha akiwa na umri wa miaka 26 tu, kwa ajali ya gari ambayo ilisababishwa na ulevi wa pombe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS