Maua: Wakati huu ni wa kutunga tu
Star wa muziki wa kike nchini Maua Sama ametoa majibu ya sababu za ukimya wake kwa upande wa kazi binafsi, ambapo ameeleza kuwa ameamua kupisha vugu vugu la kisiasa linaloendelea sasa ambalo kwa nafasi kubwa limeteka hisia za wengi.

