Sauti Sol wamtaka John Legend wasanii wa kundi la Sauti Sol la nchini Kenya Kundi la muziki la Sauti Sol limeanzisha kampeni maalum yenye lengo la kumvuta staa wa kimataifa John Legend kutoka Marekani, lengo likiwa ni kukamilisha mpango wa kufanya naye remix ya ngoma yao ya 'Isabella'. Read more about Sauti Sol wamtaka John Legend