TGU kuongezea vijana timu ya Taifa ushiriki Zone V
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Gofu Tanzania kinatarajia kuongezewa nyota wanne kwa ajili ya kujiwinda na mashindano ya kanda ya tano yanayotarajiwa kuanza Novemba 9 mpaka 13 mwaka huu jijini Kigali Rwanda.
