Ufanisi mbovu chanzo cha hasara serikalini-Mafuru

Msajili wa hazina Bw. Lawrence Mafuru

Ukosefu wa ufanisi wa kiuchumi na kiutendaji kwa baadhi ya mashirika na taasisi za umma umesababisha serikali kuingia hasara kubwa kwa kukopa pesa za kiendeshea mashirika na taasisi hizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS