Tusikilize sera za wagombea kisha tufanye uchaguzi sahihi. Tusikilize hoja na tuchague kiongozi atakayeweza kutetea masilahi ya watanzania na sio kutuacha katika hali ngumu ya maisha. Read more about Tusikilize sera za wagombea kisha tufanye uchaguzi sahihi.