Madereva kutumia simu na kadi kulipa faini
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama barabarani limeanzisha mfumo wa kulipa faini kwa kutumia mfumo Wa kielectroniki ili kudhibiti vitendo vya rushwa na madereva wanaokimbia adhabu ili kudhibiti makosa mbalimbali ya barabarani
