Mtoto Ahmed mbunifu wa saa aachiwa huru Polisi Mjini Texas nchini Marekani imeamua kutomfungulia mashtaka mtoto Ahmed Mohamed mwenye umri wa miaka 14, kwa kutengeneza saa ambayo ilihofiwa kuwa ni bomu, hivyo kupelekea kukamatwa kwake. Read more about Mtoto Ahmed mbunifu wa saa aachiwa huru