Wanachama Yanga kukutana kupitia katiba

Klabu ya Yanga imesema, wanachama wanatarajia kukutana hivi karibuni kwa ajili ya kuipitia katiba ambayo imeshafanyiwa marekebisho kwa ajili ya kupanga tarehe rasmi ya uchaguzi mkuu wa Klabu hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS