Pam Daffa hafungamani na chama
Msanii wa muziki Pam Daffa, akiwa katika kundi la wasanii ambao misimamo yao kisiasa ni suala ambalo wameamua kuliweka binafsi, amesema kuwa hatua hiyo imezuia yeye na wasanii wenye msimamo kama wake kukosa mashavu ya kutumbuiza.

