Makomando wa malaria ziarani Kusini mwa Tanzania
Kundi la muziki la Makomando, limekuwa moja ya makundi ya wasanii ambalo limepata shavu la kuwa mabalozi wa kupambana na gonjwa la malaria, ambapo kwa sasa wapo huko mikoa ya kusini kwa ajili ya kufanyakazi hiyo.

