NCCR-Mageuzi walia ushirikishwaji UKAWA
Viongozi wa juu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, akiwemo Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya Chama hicho wameelezea kutoridhishwa na ushirikiano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

