Belle 9 akerwa na wasanii wanaojianika
Star wa muziki Belle 9, amezungumzia tabia ya wasanii kuanika maisha yao binafsi katika vyombo vya habari ikiwepo mapenzi, kwake hii ikiwa si sawa na akiwa haamini kama inaweza kumsaidia kivyovyote msanii kusimama kimuziki.

