Washiriki All African games kurudi mikono mitupu
Wanamichezo wa hapa nchini waliokuwa wanachuana katika Michezo ya Africa wametoka mikono mitupu baada ya kufanya vibaya katika michezo mbalimbali waliyoshiriki katika fainali hizo zinazotarajiwa kumalizika kesho Jumamosi huko Kongo Brazaville.

