Ligi daraja la Kwanza kuanza kutimua vumbi kesho.
Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL) inatarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho Jumamosi Septemba 19 kwa michezo 10 kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini, ambapo jumla ya timu 24 zinazoshirki ligi hiyo.
