BFT yalalamikia uchache wa wanamichezo Tanzania
Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania BFT limesema, kushindwa kwa wanamichezo mbalimbali ikiwemo kwa upande wa mabondia imechangiwa na kupeleka wanamichezo wachache katika mashindano ya All African Games.

