Itengwe bajeti kubwa sekta ya afya - vijana Vijana wameitaka serikali ijayo kuboresha huduma za afya kwa kutenga bajeti kubwa kwa sekta ya afya, ili kuweza kutatua changamoto mbali mbali zinazoikabili sekta hiyo. Read more about Itengwe bajeti kubwa sekta ya afya - vijana