Vijana wenzangu huu ndo muda wa kufanya mabadiliko. Mimi kama kijana nina haki ya kuchagua kiongozi anaenifaa, kwahiyo kura yangu ni maamuzi yangu, vijana wenzangu huu ndo muda wa kufanya mabadiliko. Read more about Vijana wenzangu huu ndo muda wa kufanya mabadiliko.