Uundaji serikali umoja wa kitaifa iachwe kwa vyama
Wagombea wa nafasi za urais visiwani Zanzibar wamesema wametaka kufanyiwa marekebisho kwa sheria inayotaka chama kilichoshinda kuunda serikali ya umoja wa kitaifa na kuwa suala hilo liachwe kwa vyama husika kutoa maamuzi.
