Simba yaendeleza wimbi la ushindi Kiiza apiga tatu
Ile kauli ya viongozi wa klabu ya Simba kutumia msemo ule wa biashara asubuhi umethibitishwa hii leo baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa tatu mfululizo katika michezo ya ligi kuu ya soka Tanzania bara ambayo inaendelea hivi sasa hapa nchini

