Mbasha aachiwa huru Mahakama ya Ilala Dar es salaam imemwachia huru mwanamuziki wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha tuhuma za ubakaji dhidi yake. Read more about Mbasha aachiwa huru