Bunge laanza kujadili mpango wa maendeleo

Hatimaye leo Bunge limeanza kujadili mpango wa maendeleo ya mwaka 2016/2017, baada ya bunge hilo kutengua kanuni ya 94 ili kupitisha mpango huo ambao ulikataliwa wa baadhi ya wabunge wiki iliyopita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS