Harmonize awataka directors na serikali kujiongeza Msanii Harmonize amewataka watengenezaji wa video wa hapa nyumbani kujiongeza na kufanya video nzuri, ili kuweza kuwafanya wasanii wasiende nje kufanya video kama ilivyo sasa. Read more about Harmonize awataka directors na serikali kujiongeza