Zitto ataka bunge liachwe huru
Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe.Zitto Kabwe ameiomba serikali kupitia Bunge lake la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuacha kufanya kazi kwa matakwa ya watanzania wachache na kuwaacha watazania wengi ambao ni walipa kodi kwenye mamatizo.

