Rachel: Vanessa ndie role model wangu Muigizaji maarufu wa filamu nchini Rachel Muigizaji wa filamu nchini almarufu kama Rachel ambaye amefanya vyema katika filamu ya 'Dead Samson' ametoa ya moyoni kuhusiana na fani yake ya uigizaji baada ya kuwa msanii wa muziki. Read more about Rachel: Vanessa ndie role model wangu