Mabadiliko ya masoko yameua Viwanda-Dkt. Nyantahe
Viwanda vingi nchini vimekufa na kuacha kuendelea kuzalisha na kuuza mali kutokana na ubadilikaji wa masoko ya nje, ukosefu wa mali ghafi na sera zetu nyingi zinazotungwa hazizingatii kuinua viwanda.