Mahakama Kuu yapiga kalenda kesi ya wakazi 681 Mahakama Kuu ya Tanzania Kitengo cha Ardhi leo imeahairisha shauri la wakazi 681 waliojenga mabondeni wanaopinga kubomolewa nyumba zao kwanza hadi wapatiwe mahala pa kwenda. Read more about Mahakama Kuu yapiga kalenda kesi ya wakazi 681