Idadi ya waliokufa kwa tetemeko Taiwan yafikia 11 Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.4 lililoupiga mji wa Tainan nchini Taiwan limesababisha vifo vya watu kumi na moja baada ya jengo moja la ghorofa kumi na saba kuporomoka. Read more about Idadi ya waliokufa kwa tetemeko Taiwan yafikia 11