Hans Poppe asema hawayumbishwi na wanaowabeza
Siku chache baada ya kumtimua kazi aliyekua kocha wao mkuu Dylan Kerr mwenyekiti wa kamati ya usajili wa klabu ya simba Zacharia Hans Poppe amesema hawayumbishwi na lawama za baadhi ya wanachama wao kwa kuwa wanachohitaji ni kutimiza malengo yao