Sitaingilia uchaguzi wa Zanzibar - Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema amekaa kimya kwa muda mrefu kuhusiana na suala la Zanzibar kwa sababu Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar ni huru na hawezi kuiingia kwa namna yoyote.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS