Nchi hii kila kona ni majipu - Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungann wa Tanzania amesema ameipokea nchi hii ikiwa katika hali mbaya ambapo watu wachache wamejilimbikizia mali za kutosha huku wananchi wa chini wakizidi kuumia kwa umasikini wa hali ya juu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS