Wafanyabiashara lipeni kodi - Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wananchi wanaofanya biashara mbalimbali hapa nchini kuhakikisha wanalipa kodi stahiki kwa manufaa ya wananchi wote hasa maskini. Read more about Wafanyabiashara lipeni kodi - Rais Magufuli