Rais Dkt. Magufuli aipa Muhimbili siku mbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa agizo la siku mbili kwa hospitali ya Taifa Muhimbili kuhakikisha wazazi wahamie katika jengo la ofisi na watu wa ofisini watafute sehemu nyingine.

