Elimu bure: Shule yajikuta na wanafunzi 5,823
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadik amesema kwamba sera ya elimu bure imewezesha wazazi kote nchini kuweza kuandikisha watoto shule jambo ambalo limepandisha idadi ya uandikishaji wa darasa la kwanza mara dufu.

