Jipu TEMESA,TTCL laiva, Mbarawa kutumbua karibuni

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa

Serikali imesema hairidhishwi hata kidogo na utendaji kazi unaofanywa na wakala wa serikali wa umeme na ufundi Temesa katika uendeshaji wa shughuli za vivuko nchini pamoja na ukusanyaji wa mapato.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS