Jumuiya za kimataifa zaiangalia DRC Uchaguzi Mkuu

Siku ya uchaguzi mwaka 2011 Bunia, DRC.

Muungano wa Afrika(AU), Umoja wa Mataifa, Muungano wa Ulaya(EU) na shirika la kimataifa la wazungumzaji wa Kifaransa(IOF) wanafuatilia kwa karibu hali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC hususani kwa mtazamo wa chaguzi zijazo nchini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS