Mikoa inayotegemea Muhogo hatarini kwa baa la njaa
Zaidi ya tani milioni nne za zao la muhogo zinakadiriwa kupotea kila mwaka kutokana na magonjwa mbalimbali ya virusi yanayoathiri zao hilo hali inayotishia kuzuka kwa baa la njaa kwa mikoa inayotegemea zao hilo kama zao kuu la chakula na biashara.
