Hatma ya mji mkongwe Zanzibar mikononi mwa UNESCO

Moja kati ya Majengo yanayopatika Mji Mkongwe Visiwani Zanzibar ambavyo ni Vivutio vya Utalii.

Jopo la wataalamu wa mazingira kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO linatarajiwa kuwasili Zanzibar nchini Tanzania mwishoni mwa juma, kufanya majadiliano na mamlaka visiwani humo kuhusu hatma ya mji mkongwe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS