Tanzania yasema haitajitoa Mahakama ya ICC
Tanzania imesema haina mpango wa kujitoa katika mahakama ya kimataifa ya ICC na kutaka kufanyiwa marekebisho ya baadhi ya vipengele vinavyolalamikiwa kuwa haitendi haki na imekuwa ikiwaonea viongozi wa bara Afrika.

