Ujerumani yatoa ndege za doria Serengeti
Serikali ya Ujerumani imeipa Tanzania msaada wa ndege mbili kwa ajili ya kufanya doria za angani katika hifadhi ya Serengeti na pori la akiba la Selous ili kudhibiti uwindaji haramu na kukabiliana na majangili.
