John Woka kuzikwa mkoani Tanga
Baba mzazi wa Marehemu John Walker Denis Mhina, amesema shughuli za msiba wa mtoto wake ambaye alikuwa mwanamuziki wa bongo fleva, zitafanyika nyumbani kwa baba yake mdogo maeneo ya Ilala Bungoni, na kisha mazishi yatafanyika mkoani Tanga.

